Barua pepe: infokvz@.go.tz  |  S.L.P: 2803  |  Simu: +255 779 569 917


Logo
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar
Logo

HABARI PICHA

Mountains

KVZ

Askari wa KVZ wakiwa katika ufunguzi wa kozi ya uongozi mdogo "JUNIOR" katika chuo cha mafunzo ya kijeshi pangatupu

Lights

KVZ

Askari wa KVZ wakiwa katika master pared wakiwa chini ya mwalimu wao kutoka Jeshi La wananchi Tanzania katika chuo cha mafunzo ya Kijeshi huko Pangatupu Zanzibar

Nature

KVZ

Mkuu wa Kikosi Cha Valantia Zanzibar akiwa na wakuu wenzake wakielekea katika ufunguzi wa kozi ya uongozi mdogo katika chuo cha mafunzo ya kijeshi Huko Pangatupu Zanzibar

Car

KVZ

Kikosi cha Timu Ya KVZ kikiwa kipo katika muendelezo wa ligi kuu nchini Zanzibar

Car

KVZ

Mkuu wa Mafunzo KVZ ambae pia ni mwenyeketi wa michezo akitoa hutuba fupi katika ufunguzi wa bonanza hapo KVZ Mtoni

Car

KVZ

Mkuu wa KVZ akiwa katika ghafla ya ugawaji wa zawadi na kikombe kwa washindi wa bonanza lililoandaliwa na Kikosi cha Valantia Zanzibar

People

KVZ

Timu ya KVZ wakiwa uwanjani wakipambana na Timu ya KZU katika uwanja wa Amani Zanzibar

People

KVZ

Mkuu wa Kambi ya KVZ Mtoni akisalimiana na wachezaji wa Mpira wa kikapu katika bonanza lililofanyika hapo KVZ Mtoni

People

KVZ

Kikundi cha sanaa na Maagizo KVZ wakiwa katika kuburudisha katika ufunguzi wa Bonanza lilifanyika Hapo KVZ Mtoni Zanzibar

Mountains

KVZ

Daktari wa KVZ akiwa katika harakati za upimaji wa afya kwa kutumia kifaa maalumu cha microscope

Lights

KVZ

Daktari wa kikosi cha valantia akiwa katika harakati za matibabu kwa mgonjwa akiwa anampima pressure

Nature

KVZ

Madaktari wakiwa katika chumba maalumu cha kuchukulia dawa kitaalamu kinajulikana kama pharmacy

Nature

KVZ

Nature

KVZ

Nature

KVZ

Nature

KVZ

Nature

KVZ

Nature

KVZ

Nature

KVZ

Waziri wa vikosi vya idara Maalum Mh Haji Omar Kheri Akiwa katika Ukaguzi wa gwaride lilochezwa na Askari wa Intake 03 Idara maalumu Katika Ghafla ya ufungaji wa Kozi hiyo

Nature

KVZ

Kamanda wa KVZ akiwa katika picha ya pamoja na Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Zanzibar

Nature

KVZ

Waziri wa vikosi vya idara Maalum Mh Haji Omar Kheri Akiwa katika Ukaguzi wa gwaride lilochezwa na Askari wa Intake 03 Idara maalumu Katika Ghafla ya ufungaji wa Kozi hiyo


© 2021 Kikosi Cha Valantia Zanzibar. Haki zote zimehifadhiwa